Utampenda Hamisa Mobetto Akiwa Safarini Kuelekea Dubai Na Ndege Ya Ghali – Dubai Videopublished: 2017-11-14 16:25:07

Utampenda Hamisa Mobetto Akiwa Safarini Kuelekea Dubai Na Ndege Ya Ghali

Watch the original Dubai Video here

Some local news is curated - Original might have been posted at a different date/ time! Click the source link for details.

10 Comments - Write a Comment

 1. Kila kitu mipesa 😂😂😂😂😂😂

  Reply
 2. Mashindano sio mazurii kaa ulee watoto wako hizo peda unazo poteza ungekuwa mbalii Kiuchumi

  Reply
 3. Aigiza tembo kunya mavi makubwa utapasuka msamba shauri yako

  Reply
 4. Tumia akili lea mwana kwanza starehe badaye hizo hela unazo cheza nazo ndo zingekuwa za kumlea mwana vzr ww ndo unachezea kachini tafakari hayo yanapita yt lkn mwana hapiti yp anakusubiri hata uende wp😎😕😱

  Reply
 5. halafu yake yuataka child support milioni tano kila mwezi!! binti anacheza

  Reply
 6. zari nahisi anakucheka…kumuacha mtoto wako mdogo..ukaanza kujishebedua…kutaka kiki..hhhh

  Reply

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Send this to a friend